- Get link
- X
- Other Apps
Top Stories
- Get link
- X
- Other Apps
Simba inaongoza 3-1 dhidi ya Mighty Wanderers katika mchezo wa marudiano wa CAF Champions League unaochezwa Uwanja wa Uhuru.
Clatous Chama aliifungulia Simba dakika ya 8, kabla ya Libasse Gueye kuongeza bao la pili dakika ya 27.
Chama akafunga tena dakika ya 34 na kuiweka Simba mbele kwa mabao 3-0, lakini Mighty Wanderers wamepunguza pengo na sasa ni 3-1.
Simba inaenda mapumziko ikiwa mbele, huku kipindi cha pili kikisubiriwa kuamua hatima ya mchezo.




Comments
Post a Comment