TOP STORIES

MAKUNDI YA CAF CHAMPIONS LEAGUE 2026/2027 YAFAHAMIKA

Hatua ya makundi ya CAF Champions League msimu wa 2026/2027 yamepangwa, huku Simba SC na Young Africans (Yanga) zikijua wapinzani wao katika mashindano hayo.


Kundi A


- ES Tunis

- Atlético Petróleos

- FC Nouadhibou

- Wiliete de Benguela


Kundi B


- Zamalek SC

- Young Africans

- MC Alger

- Club Africain


Kundi C


- RS Berkane

- Simba SC

- Orlando Pirates FC

- Colombe Sportive DL


Kundi D


- Pyramids FC

- Al Hilal SC

- Horoya AC

- MAS de Fès





Comments