Top Stories

FABRIZIO ROMANO AITANGAZA YANGA KIMATAIFA (CAF)

 

Roano na jezi ya Yanga CAFFabrizio Romano

Klabu ya Young Africans imemtumia mwandishi nguli wa habari za usajili duniani, Fabrizio Romano, kutangaza rasmi jezi zao za kimataifa zitakazotumika katika michuano ya CAF Champions League msimu wa 2026/2027.

​Kupitia jukwaa lake kubwa, Romano ametumia kauli yake pendwa akisema, "Here We Go!" kutambulisha uzi huo mpya wa Wananchi, ikiwa ni mkakati kabambe wa kukuza chapa ya klabu hiyo kimataifa.


Aziz ki na jezi ya Yanga CAF
Aziz Ki
 (Away Kit)
 
Aziz ki na jezi ya Yanga CAF
(Home Kit)
Seleman mwalimu akiwa na jezi mpya ya  Yanga
Seleman Mwalimu 
(Third Kit)


Romano na jezi ya Yanga CAF

Romano na jezi ya Yanga CAF




Comments