- Get link
- X
- Other Apps
Top Stories
- Get link
- X
- Other Apps
Simba imetawala zaidi mchezo kwa upande wa umiliki wa mpira, lakini licha ya kutawala eneo hilo, imeshindwa kutumia nafasi zake na kwenda mapumziko bila bao.
Yanga ilipata bao lake baada ya Shadrack Boka kupiga krosi iliyofika kwenye eneo la hatari, huku Max Nzengeli akichangia kuvuruga safu ya ulinzi ya Simba kabla ya Kangwanda kuutumia mpira huo na kuandika 1 - 0.
Mchezo ulianza kwa kasi ndogo huku timu zote zikisoma mchezo, lakini kadri dakika zilivyokwenda kasi ikaongezeka. Simba sasa inahitaji kutumia umiliki wake kutafuta bao la kusawazisha, wakati Yanga ikilinda uongozi wake.


Comments
Post a Comment