Top Stories

PYRAMIDS YAANZA LIGI KWA USHINDI WA 3-0

Momeena ameanza kwa ushindi na pyramid

Pyramids FC imeanza msimu wa Ligi Kuu ya Misri kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ghazl El Mahalla katika mchezo uliochezwa Agosti 22, 2026.


Pyramids ilipata bao la kwanza dakika ya 41 kupitia O. A. Fakhouri, na kwenda mapumziko ikiwa mbele kwa bao 1-0.

Kipindi cha pili, N. Maher aliongeza bao la pili dakika ya 67 kabla ya M. Zalaka kufunga bao la tatu dakika ya 74 na kukamilisha ushindi wa 3-0.

Pyramid yaibuka na ushindi wa 3-0 Misri

Matokeo hayo yanaipa Pyramids FC pointi tatu katika mchezo wake wa kwanza wa msimu wa Egyptian Premier League, huku Ghazl El Mahalla ikianza msimu kwa kupoteza.

Comments